PoaAcha mawazo yasiyo na ustawi wala afya
Kama unaanza hii biashara, usiwe na haraka 😊 Anza kwa kumpata supplier wa kuaminika, jaribu mzigo mdogo kwanza, halafu ukiona mambo yanaenda vizuri unaongeza mzigo. Muhimu sana kuhakikisha shipping, kodi na gharama zote kabla ya kutuma hela nyingi. 🙏Aman kwenu wakuu
Kama uko mambele na una uwezo wa kupata nguo za mitumba na kuzituma bongo
Nishutue tufanye kazi
Kwa uaminifu mkubwa sana
Bwana akubariki sana