Natafuta mtu ambaye atakuwa ananitumia nguo za mitumba kutoka China , Ulaya au Amerika

Kwa ushauri wangu fika kwa wasafirishaji hasa cargo company ni rahisi wao kukupa mtu wao wa uhakika na wakakusafirishia.
 
Aman kwenu wakuu

Kama uko mambele na una uwezo wa kupata nguo za mitumba na kuzituma bongo
Nishutue tufanye kazi

Kwa uaminifu mkubwa sana

Bwana akubariki sana
Kama unaanza hii biashara, usiwe na haraka 😊 Anza kwa kumpata supplier wa kuaminika, jaribu mzigo mdogo kwanza, halafu ukiona mambo yanaenda vizuri unaongeza mzigo. Muhimu sana kuhakikisha shipping, kodi na gharama zote kabla ya kutuma hela nyingi. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…