Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume za mtumba mikoani

Joined
Apr 12, 2020
Posts
13
Reaction score
19
Ndugu habari.. !!

Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za
emoji158.png
jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea.

Mawasiliano 0744644627
0622531099

Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..

Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka.
 
Emb twende Jukwaa la Matangazo ukatwambie hiyo Bei rahisi ni Tsh. Ngapi, afu utuekee na picha zake
 
Back
Top Bottom