Natafuta mtu anayeuza mayai ya kisasa kwa Dar es Salaam

Natafuta mtu anayeuza mayai ya kisasa kwa Dar es Salaam

Bennie01

Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
8
Reaction score
0
Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300..

Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
 
Wabongo mnaboa sana aisee,
Hivi ungeanza wewe kwenda inbox kungetokea nini kwani?
Kwa hiyo umekaa umekunja nne unasubir mteja aje inbox. Asipokuja utasingizia biashara ngumu au watu wanakuloga.
Mwenye shida ndo afuate mwingine, yy anahitaji maanake ana shida! Order zipo nyingi ! Sio yy peke yake wapo wengi!
 
Mwenye shida ndo afuate mwingine, yy anahitaji maanake ana shida! Order zipo nyingi ! Sio yy peke yake wapo wengi!
Kwa hiyo baada ya wewe kugundua kua yeye ndo ana shida na bidhaa zako ndo unaamua kukunja nne kumsubiri? Hao wateja walioko wengi huhitaji kuongeza Wengine?

Acha hiyo mentality ndugu.
 
Ndo wabongo tulivyo,,unaenda dukani unakuta muuzaji anakucheki kama anaangalia udivi
 
Kwa hiyo baada ya wewe kugundua kua yeye ndo ana shida na bidhaa zako ndo unaamua kukunja nne kumsubiri? Hao wateja walioko wengi huhitaji kuongeza Wengine?

Acha hiyo mentality ndugu.
Ni changamoto😅😅
 
Back
Top Bottom