Natafuta mtu anayeuza vifaa na vyombo vilivyotumika kidogo kwa ajili ya mgahawa

Natafuta mtu anayeuza vifaa na vyombo vilivyotumika kidogo kwa ajili ya mgahawa

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu

Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
 
Back
Top Bottom