Do the impossible
Member
- Oct 29, 2024
- 24
- 54
Niko dsmUlitakiwa useme uko wapi,wadau waje kwa haraka,bodaboda wapo kila mkoa na kila wilaya.
Yako umepeleka wapiNatafuta mtu anifundishe bodaboda awe na bodaboda yake
Unaweza kuona yuko Musoma anataka kufundishwa na mtu wa DarUlitakiwa useme uko wapi,wadau waje kwa haraka,bodaboda wapo kila mkoa na kila wilaya.
SinaYako umepeleka wapi
Niko darUnaweza kuona yuko Musoma anataka kufundishwa na mtu wa Dar
Iyo ni ajira ama sadaka tu mtu atoeNatafuta mtu anifundishe bodaboda awe na bodaboda yake
Acha zako mkuu 🤣🤣🤣Death Registration..
Poa tu kila mtu atakufaDeath Registration..
Kuendesha pikipikiUnataka ufundishwe boda boda au kuendesha pikipiki??
Nipo kwa aziz ally mkuuUpo dsm sehemu gani ili iwe rahisi kupata MTU ambaye yupo eneo ulilopo .
Maana unabidi kujifunza Kwa mfumo wa kupunguza gharama.