Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

hakiba

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
33
Salaam,

Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba hii.

0759429980.
Address.DSM
 
Wakati ambapo mnatafuta account dereva mwenzenu natafuta gari (kimeumana)
 
Salaam,

Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba hii.

0759429980.
Address.DSM
Doo..., acha kiumane we una gari mi sina chuma ila namiliki accnt zote bort, uber, pink.
 
Back
Top Bottom