Mathematician
JF-Expert Member
- Nov 8, 2009
- 327
- 109
Umenifurahisha sana misasa.Je msingi wa kuanzia kununua ruby kama tshs ngapi??
Vitenge aina gani vinauzika hukokwa mkoa ambao nilikuwepo mm ni mkoa wa nyasa sehemu flani inaitwa lichinga ni mkoa ambao umepakana na malawi,vitu ambavyo vinauzika kule ni viatu,vitenge,nguo kama surual,tshert,na pia za kike,mi kaka yangu yupo mpaka leo huko anapiga kazi huwa anakuja tz kuchukua mzigo.
NATAKA NIJEKUFANYA BIASHARA HUKO MSUMBIJI MKUU ILA SASA NATAKA NILETE VITU VYA KITAMADUNI NA NAFAKA NA NGUO KAMA MADIRA VIPI SOKO LAKE HUKO NA WAPI NDO PAZURI KWA BIASHARA HIZIniko Tanzania kwa sasa nina wiki 2 mbili nimerudi, nitanda tena tarehe 15 mwezi huu.ila nitaenda kule MANASHA
Marley dollars unamjuaacha nikujibu mm maana naona mkuu felix katiririka vya kutosha, wilaya ya mptopwez kuna sehemu inaitwa nyanupu hapo ndy ruby ipo
Nataka tractor aina ya Massey nipo songeaKwa wale wanaotoa bidhaa China au popote duniani, iwe nguo aina zote, viatu nk naombeni mmoja wenu atakaeniamini tufanye nae biashara,mi ni mwenyeji sana nchini Msumbiji, bidhaa toka Tanzania zinahitajika, Kama hutojali nicheck kupitia 0718375766