Natafuta mtu mwenye biashara tufanye biashara pamoja

Natafuta mtu mwenye biashara tufanye biashara pamoja

kwa mkoa ambao nilikuwepo mm ni mkoa wa nyasa sehemu flani inaitwa lichinga ni mkoa ambao umepakana na malawi,vitu ambavyo vinauzika kule ni viatu,vitenge,nguo kama surual,tshert,na pia za kike,mi kaka yangu yupo mpaka leo huko anapiga kazi huwa anakuja tz kuchukua mzigo.
Vitenge aina gani vinauzika huko
 
niko Tanzania kwa sasa nina wiki 2 mbili nimerudi, nitanda tena tarehe 15 mwezi huu.ila nitaenda kule MANASHA
NATAKA NIJEKUFANYA BIASHARA HUKO MSUMBIJI MKUU ILA SASA NATAKA NILETE VITU VYA KITAMADUNI NA NAFAKA NA NGUO KAMA MADIRA VIPI SOKO LAKE HUKO NA WAPI NDO PAZURI KWA BIASHARA HIZI
 
Kwa wale wanaotoa bidhaa China au popote duniani, iwe nguo aina zote, viatu nk naombeni mmoja wenu atakaeniamini tufanye nae biashara,mi ni mwenyeji sana nchini Msumbiji, bidhaa toka Tanzania zinahitajika, Kama hutojali nicheck kupitia 0718375766
Nataka tractor aina ya Massey nipo songea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom