Natafuta mtu mwenye duka na uwezo kusupply vitu vifuatavyo ofisini kwetu

Natafuta mtu mwenye duka na uwezo kusupply vitu vifuatavyo ofisini kwetu

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wanajf..Nimeona niwashirikishe kitu kwa wale wenye maduka yao ambao wataweza kusupply vitu vifuatavyo kwenye ofisi yetu ambayo utaifaham baadae ila sio ndogo ni kubwa na inafahamika.

Sukari 200kg
Maziwa Nido 7.5 cartons
Kahawa
Majani ya chai
Toilet paper
Tissue box
Nerpkin
Mbuni Sabuni
Axion
Sabuni ya unga
Foma ya maji
Lit
X-Pel
Cups Disposable
Vinu
Jick

Nipo serious na vitu vinahitajika Jumatatu ya tar.05/01/2015, nitahitaji kuona profoma Invoice ya kila mmoja..Kama una nia ni pm then ntakujulisha jinsi ya kuwasiliana na mimi kwa njia ya simu....Ni hapa hapa Dar maeneo ya Ubungo, sihitaji watu wa mikoani tafadhali..
 
Inategemea na huduma yako..Ikiwa nzuri tutakuwa tunakutumia mara kwa mara...
 
Pls advise based on the below format, then you can get better result and ofcourse could have shared assisting info for people you want to mak business with you, could be me
[TABLE="width: 366"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]Kiasi (quantity) kinachohitajika
[/TD]
[TD]Comments
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sukari 200kg
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Aina gani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Maziwa Nido 7.5 cartons
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kahawa
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Aina gani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Majani ya chai
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Aina gani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Toilet paper
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tissue box
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nerpkin
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbuni Sabuni
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Axion
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sabuni ya unga
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Aina gani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Foma ya maji
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lit
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]X-Pel
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cups Disposable
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vinu
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Aina gani
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Jick
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom