Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari wanajf..Nimeona niwashirikishe kitu kwa wale wenye maduka yao ambao wataweza kusupply vitu vifuatavyo kwenye ofisi yetu ambayo utaifaham baadae ila sio ndogo ni kubwa na inafahamika.
Sukari 200kg
Maziwa Nido 7.5 cartons
Kahawa
Majani ya chai
Toilet paper
Tissue box
Nerpkin
Mbuni Sabuni
Axion
Sabuni ya unga
Foma ya maji
Lit
X-Pel
Cups Disposable
Vinu
Jick
Nipo serious na vitu vinahitajika Jumatatu ya tar.05/01/2015, nitahitaji kuona profoma Invoice ya kila mmoja..Kama una nia ni pm then ntakujulisha jinsi ya kuwasiliana na mimi kwa njia ya simu....Ni hapa hapa Dar maeneo ya Ubungo, sihitaji watu wa mikoani tafadhali..