Natafuta MTU mzima wa kunifariji

Pole, na kila la kheri.
Napendaha uwazi wako juu ya maisha yako ya hivi.
ulikaaga mbali na hapa miakaaaaa. nilifikiri ulikuwa kwenye raha zote na ndoa
Nimemumiss rafiki mwema!
 
Moyo wangu umeumia Sana jamani
Pole sana aisee, naamini utaumia zaidi utakapokutana na comment za hapo juu na zinazo fuata.
Usijali, kiasili mwanadamu ni muumizaji na muumizwa, hivyo umia sasa kwani baada ya muda kidogo utarejea kawaida.

La kufahamu sisi sote ni wabinafsi, ni mara chache sana kupata faraja kutoka kwa binadamu wenzetu ingawa hamna mahali pengine tunaweza kupata faraja na furaha nje ya mwanadamu.

Pole, jipe moyo kesho itakuwa nzuri zaidi kwako .
 
Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni

Mtego huu haukamati mtu. Iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi. Unatafuta Danga aka Buzi. Ungeandika hivyo tu. Hayo mengine ya kusema wa kukufariji ni kupaka rangi ya kupendeza na marumaru kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…