πππ, sasa ndiyo vizuri inakuwa wahenga kwa wahengaHuyo ameshakuwa mhenga, makovu mengi ya kuumizwa kila siku. Sitamuwezaπ π π
Saivi nataka kabinti kama wewe hivi!π€ͺπ€ͺ
πππ nisamehe tu BureBinti unamdalalia mume wanguπββοΈπββοΈπββοΈ
Sasa chagua, nimuachie Mungu au niingie fronti?
Ili nikusamehe, andaa mabango. Tuna matumizi nayo.πππ nisamehe tu Bure
Acha uoga kijanaπ.Hiyo hata mimi naiweza...Hiyo tu..
Lete ingine hiyo naijua
Hunitakii mema π, labda mwanasheria wangu aje kusema neno Mpaji MunguIli nikusamehe, andaa mabango. Tuna matumizi nayo.
Kama huyo ndio mwanasheria wako, basi rip in advanceπ€£Hunitakii mema π, labda mwanasheria wangu aje kusema neno Mpaji Mungu
π weee usiniambie, mbona mimi ndiyo namtegemea kwenye kila kitu?Kama huyo ndio mwanasheria wako, basi rip in advanceπ€£
Ooooh poor youπββοΈπββοΈπββοΈπ weee usiniambie, mbona mimi ndiyo namtegemea kwenye kila kitu?
Hapana nataka kabinti kabichi hakajapata kashkashi za kuumizwa. Tulianzishe kabisa Chicaπ ππππ, sasa ndiyo vizuri inakuwa wahenga kwa wahenga
ππ sawa mubaba wangu nipo hapa
Umekuwaje siku hizi Kapeace π π πJinsia ipi be specific miss
Acha iyo Kuna sisi wa makaburini
Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
Sasa si unikubali Mimi π€¦π€¦Moyo wangu umeumia Sana jamani
Niko down Sana
Natafuta faraja tu
Hata pm ,email .
Karibuni
ππππ kiufupi nimeyakanyaga, π mbona alisema amenolewa hadi school of LawOoooh poor youπββοΈπββοΈπββοΈ
Huyo ni mdogo wangu, namjua mimi. Kwisha habari yako.