Bibi aliona mbali.Huyo bibi yako alikuwa mbele ya muda..!!
Alijua yasingeishia huko, si unaona sasa yamejirudia. Tena safari hii ni mbaya zaidi.
Sema kwa Mrema huwa nacheka sana.!! 😹😹😹
Hii kura yako inakuuma sana, POLE
Asikutishe huyo niachie mimi akiona tu "XMs234£s imethibitishwa....." anatakuachia kabisa na huyo mume wake.
Nikuwekee M pesa au Airtel Money?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dogo wewe wa kunifanyia hivi kweli!! Nimelia sana😭😭😭
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 simtaki kwanza
Nikiwa mortuary 🙆♂️🙆♂️We kesho toka na bango lako ntakutetea vizur
Mi ile tar 29 nlikuwa na nazurura na toyo mbona sijapelekwa mortuary?Nikiwa mortuary 🙆♂️🙆♂️
Makubaliano yenu ni kama ya wananchi na jeshi🤣🤣Tumefikia huko Chica! Mbona tumeshakubaliana😅😅
Airtel money🤣🤣Nikuwekee M pesa au Airtel Money?
Acha uongo dogo, ulikuwa chumbani uvunguni.Mi ile tar 29 nlikuwa na nazurura na toyo mbona sijapelekwa mortuary?
Hapana nimenyoosha mikono 😅Tumefikia huko Chica! Mbona tumeshakubaliana😅😅
Ndiyo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Weeeeh
Najua huwezi amini nlishuhudia mbungi kuanzia shekilango mpaka urafiki pale big brother hadi yale mavampire ya samia yalipoanza kupiga risasi za moto nkasepa hadi kijazi, mida ya saa tisa kumi hv nlikuwa na bogi flan la wanawake wametokea ubungo likapita maziwa... msale... sahara.... relini.....mabibo mwisho likaishia kigogo mwisho.Acha uongo dogo, ulikuwa chumbani uvunguni.
Pole, na kila la kheri.
Napendaha uwazi wako juu ya maisha yako ya hivi.
ulikaaga mbali na hapa miakaaaaa. nilifikiri ulikuwa kwenye raha zote na ndoa
😅😅😅😅jeshi la polisi au wananchi?Makubaliano yenu ni kama ya wananchi na jeshi🤣🤣
Hutakiwi kukata tamaa kizembe namna hii!😅Hapana nimenyoosha mikono 😅
Wananchi🤣😅😅😅😅jeshi la polisi au wananchi?
🤔🤔🤔🤔Najua huwezi amini nlishuhudia mbungi kuanzia shekilango mpaka urafiki pale big brother hadi yale mavampire ya samia yalipoanza kupiga risasi za moto nkasepa hadi kijazi, mida ya saa tisa kumi hv nlikuwa na bogi flan la wanawake wametokea ubungo likapita maziwa... msale... sahara.... relini.....mabibo mwisho likaishia kigogo mwisho.
Ndoa? Unafikiri ndoa mchezo?nilifikiri ulikuwa kwenye raha zote na ndoa
Sio la kuamini sana hilo jeshi, mwanzo walikuwa kwa ajili ya wananchi, baadae wakaacha watoto wakauwawa. Kwa hiyo hali yangu na wewe inafanana hivyo?😅Wananchi🤣