Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Let clarify some issues here:
Kuna project nafanya hapa Dar es Salaam kwenye kampuni ya energy, natengeneza consumers monitoring system inayowezesha consumers kucheki energy consumption kupitia web interface.
Sifa za nayemuhitaji:
1. Nina background knowledge kiasi ya MySQL, PHP, HTML, CSS na Javascript. Tatizo ni muda, kufanya kila kitu mwenyewe na muda ulobaki nitazingua. Kila code nikitaka kuandika (mfano kuweka dropdown menu kwenye navigation bar) lazima ni google sana. Kutokana na muda finyu nilonao (nina siku nne/tano tu mkononi) nahitaji mtu wa kushirikiana nae kutengeneza hii web system/interface. Mfano: Nimejaribu kutumia Bootstrap kurahishisha Frond End development nimeshindwa, nahitaji time zaidi ku-practice. Issue ni muda.
2. Ningependa mtu awe freelancer (sijui niwekeje hii). Yaani asiwe amebanwa kwenye ajira, awe na time anisaidie kazi yangu fasta. Sitaki iwe kampuni (mfano hawa wanaotangaza humu JF kuwa wana kampuni kabisa). Kwa sababu kazi yangu sio kubwa sana. Web interface ya page tatu na kwa ajili ya project (sio biashara) itakua too much expensive kufanya na kampuni. Kwanza bajeti yangu ndogo sana.
3. Nampa requirements za interface inavotakiwa kuwa then tunasaidiana kazi, mwisho wa siku ananitumia source codes zote za files, kwa sababu mwishowa siku natakiwa ni act kuwa nimetenegeneza mie. Web system inatakiwa iwe responsive (smartphone, laptop, desktop, tablet) na iwe compatible to all web browsers.
4. Sitaki web interface itengenezwe kwa ready made templates. Input yangu kwenye project itaonekana finyu. Unaweza kutumia frameworks kama Bootstrap, PHP Symphony, JSON ect sababu mwisho wa siku natakiwa nioneshe source codes, na kufanya full customization kwenye system yangu.
5. Kumbuka hapa tunantengeneza database na interface (web system) kwa ajili ya ku integrate na energy meter zetu. Kazi ya ku integrate itafata baadae (baada ya hii ya kwanza kukamilika).
6. Ukiwa vizuri pia kwenye electronics/communication itakua poa. Sababu utakua una idea system inatakiwa iweje. Unaweza kuweka input zako.
7. Malipo ya kazi ni makubaliano baina yangu na yeye. Mambo ya hosting na domain name gharama zote kwangu.
8. Ukiwa interested/seroius njoo pm. Ama tuma email kwenda nakujaigana@gmail.com tuanze kazi fasta.