Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya masoko

Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya masoko

Iniho

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
97
Reaction score
68
Habari Wana JF.

Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k.

Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702.

Napatikana Dar es Salaam
 
Habari Wana JF.

Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko,Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k.

Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702.
Upo mkoa gani wewe mfanyabiashara? Mimi nipo kakama-shinyanga
 
Habari Wana JF.

Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko,Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k.

Naomba tuwasiliane tuongee zaidi. Napatikana kwa namba hizi 0738-665702.
Mtu mzuri ndio yupoje?
 
Vipi mkuu ulishampata.
Habari Wana JF.

Natafuta mtu mzuri kwa ajili ya Masoko, Mimi n mfanyabiashara Nina kampuni yangu inajihusisha na ku supply bidhaa za chakula Kama unga, Maharage, Mchele, Mbogamboga, Matunda n.k...
 
Bado ipo nichek dm pia natafuta mtu wa Marketing kwa ajili ya kuku nafuga kuku broiler commission ni 500 kwa kila kuku mimi bei ya kuuza ni 6500
Kwahiy pesa nalipwa kutokana na mauzoo??
 
Back
Top Bottom