Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Vigezo huna mzee wangu [emoji23]We ke au me. Tuanzie hapo kwanza.
Asee
Ni kweli naukiwa Karibu na mtu inakuwa sawa sio lazima mfanye lolote kihivyoo.Hapana mkuu sitafuti marafiki wa kuongea na kushauriana....ni kitu ambacho kinatokea automatic unajikuta umeshibana na mtu...and the rest comes on
We jamaa Super Villain umeibukia wapi tena. Kwani vigezo havibadiliki mzee? Haya subiri vigezo hapo utaambulia manyoya tu 😂😂😂Vigezo huna mzee wangu [emoji23]
Kaza mwendo utafika
Mimi natafuta rafiki naniposeriousMkuu uko serious au geresha ,nikaze mwendo nifike wapi..chekecha tukutane pm
Mimi nipo seriousAge yako mkuu isijekuwa unataka kufunika pipa na kifuniko cha soda
😁😂😂🤣🤣 kwani siuttafuta tuHivi kuna mwanaume bwege wa hivi kweli yaani uchat na mimi, nikushauri na tuwe marafiki alafu mbunye umpelekee mwingine aichakate labda kama umesahau kusema utakuwa unampa papuchi siku moja moja
Mimi nipo serious
Urafiki hauna ageHata mimi nipo serious pia weka hata range ya umri wako. Mfano 25-30
Hii nafasi nikiikosa lazima ntakuwa mduwanzi.chaliifrancisco hii fursa unaiachaje kwa mfano?tena hapo mambo yakienda sawa unakula kimasihara
Urafiki hauna age
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamchelewi kutangaza shida zenu “utasikia my hivi huwa unamchenga vipi mwenye nyumba”
It is never too late to begin. Start now
Mimi natafuta rafiki naniposerious