Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewee 😂😂😂😂chaliifrancisco hii fursa unaiachaje kwa mfano?tena hapo mambo yakienda sawa unakula kimasihara
Mi mwanamke bestWe ke au me. Tuanzie hapo kwanza.
Na ss wa chato[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio malaya ila natafuta rafiki ambaye atanipa kampani ya kuchart kuongea na kushauriana kukutana na kuongea tu sio kingine kama uko serious ni contact ila uwe arusha
Nimeikosa hii nafasi sipo chuga now ila natembeleaga mara kwa mara. Can you expand your scope please?Mi mwanamke best
Asee
SawaToa iyo arusha, me nije...
Hahaha
Hapana sipo hivyoHamchelewi kutangaza shida zenu “utasikia my hivi huwa unamchenga vipi mwenye nyumba”
It is never too late to begin. Start now
Kaza mwendo utafikaMkuu Sielewi pm Yangu haifanya Kazi au sijui namna ya kuitumia ,naomba uanze kunicheki pm tafadhali