Mkuu wazo lako zuri.
Lakini sio kwamba nakubeza.
Ila umenisikitisha sana kwamba ni Graduate wa Chuo,halafu unakuwa na uandishi kama huu au uwasilishaji wa proposal wa namna hii.
Hembu mpe mwenzio aisome atakupa jibu la jinsi uandishi ulivyo jichanganya na hauna mtiririko mzuri,then ilete upya na u verify points zako vizuri.
Hapa hakunaga jema,
Jiajiri tu mwaya ajira zenyewe ni zao na familia zao.
Kuna wakati fulani nilisoma hapa hapa jf kuwa ushiboy anafanya hizo kitu za dubai.
Kama niko sawa jaribu kuwasiliana naye.
Mkwe, nimeipata barua yako. Lakini siku kujuza yalonikuta. Niliwasiliana na watu kadha na nilipata oder ya vifaa vingi na hasa bidhaa za electronic. Wakati narudi Tz likizo nikabe na vile nilivyo agizwa.
Matokeo yakuleta vitu ilikua ni kudhulumiwa na wengine hawakuchukua vile walivyo agiza.
Niliamua kuakaa kimyaaaa......, na likizo ilipokwisha nikarudizangu ugaibuni
Pole nilihisi kitu kama hicho niliposoma uzi wako;
Wakati mwingine fanya mkono kwa mkono wabongo hawaaminiki.
Kumbe ulikwisha rudi zako huko; anyways kuna kitu nilitaka pengine tutaongea kwenye mitandao mingine baadae.
Pole nilihisi kitu kama hicho niliposoma uzi wako;
Wakati mwingine fanya mkono kwa mkono wabongo hawaaminiki.
Kumbe ulikwisha rudi zako huko; anyways kuna kitu nilitaka pengine tutaongea kwenye mitandao mingine baadae.
Mkuu,
Kwanza hongera kwa mpango wako wa kuamua kujiajiri. Napenda kukutia moyo sana juu ya uamuzi huo. Niko Guangzhou - China, tuwasiliane kwa +862086666888 au ni PM namba yako kuna bidhaa nyingi hapa unazoweza kuanzia kwa sasa.
unapenda mteremko.
Am Iinterested kujua vitu baadhi toka kwako naomba nikufate pm. Tuelezane kidogoHabari zenu wana jf,natafuta mtu wa kufanya nae biashara nimemaliza chuo mwaka huu, wakati nasoma nilikuwa na kibanda changu cha kupiga picha za kawaida, passport size,video shooting kwenye maharusi,birthday nk. Niko mbagala rangi 3 kabla sijaanza kuzunguka na bahasha napenda nijiajiri kwanza na kupanua biashara yangu japokuwa nina mtaji wa 2m.
Nataka kufungua duka la simu na laptop,anayeweza kuniuzia bidhaa hizo kwa bei ya jumla niko tayari tuwasiliana 0656669989
Pia ningependa kupata contact ya jamaa aliye Dubai ili nione uwezekano wa kufanya nae biashara.