IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Habari zenu wana jf,natafuta mtu wa kufanya nae biashara nimemaliza chuo mwaka huu, wakati nasoma nilikuwa na kibanda changu cha kupiga picha za kawaida, passport size,video shooting kwenye maharusi,birthday nk. Niko mbagala rangi 3 kabla sijaanza kuzunguka na bahasha napenda nijiajiri kwanza na kupanua biashara yangu japokuwa nina mtaji wa 2m.
Nataka kufungua duka la simu na laptop,anayeweza kuniuzia bidhaa hizo kwa bei ya jumla niko tayari tuwasiliana 0656669989
Pia ningependa kupata contact ya jamaa aliye Dubai ili nione uwezekano wa kufanya nae biashara.