Natafuta mtu wa kufanya naye kazi

Natafuta mtu wa kufanya naye kazi

Ambele Ml

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Hellow wadau!,

Mimi ni mtaalam wa masuala ya video editing na videography kwa kutumia Adobe after effect + Premiere pro + Photoshop lakini sina mtaji wa kupata camera na kuwa na studio!
So kwa MTU yeyote aliye na mtaji na yuko tayari kufanya kazi na Mimi anicheki kwa 0767816541 ili tufanye kazi.
 
Orodhesha vifaa vyote unavyohitaji halafu ni pm ,
 
Hellow wadau!,

Mimi ni mtaalam wa masuala ya video editing na videography kwa kutumia Adobe after effect + Premiere pro + Photoshop lakini sina mtaji wa kupata camera na kuwa na studio!
So kwa MTU yeyote aliye na mtaji na yuko tayari kufanya kazi na Mimi anicheki kwa 0767816541 ili tufanye kazi.
Vipi nikitaka na Mimi unifundishe hayo maujuzi mkuu?
 
Back
Top Bottom