Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

Mdudu Mende

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
78
Reaction score
120
Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

Sifa
Awe mwanamke
Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza)
Awe ndani ya Dar es Salaam
Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+
Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi

Hit my inbox
 
Hapo kwenye bachelor na kujua kizungu nimefeli.
Ila hamna noma, kuna mzee hapa mtaani ameahidi atanipa mikob.
Ataanza kwa kunipatia chuma ulete. tutakutana tu huko vilingeni na usomi wako.
 
Hapo kwenye bachelor na kujua kizungu nimefeli.
Ila hamna noma, kuna mzee hapa mtaani ameahidi atanipa mikob.
Ataanza kwa kunipatia chuma ulete. tutakutana tu huko vilingeni na usomi wako.

[emoji23]
 
Dunia inaenda mbio sana
Kazi za kichawi itakuwa lazima uwe umemaliza chuo
 
Hahaha Aisee siku hizi uchawi mpaka uwe na cheti angalau cha darasa la 7
Mbona serikali inashughuli na hawa wanauchi wake
 
muwe mnasaidia kuwasafirisha vijana wa kitanzania kwa gharama nafuu kwenda nchi mbalimbali duniani, msiishie tu kuwaroga wawe na maisha duni...
 
kwa tatizo hili sidhani kama sisimu wanahusika
 
Hapa anatafutwa mke au mke mchawi..?😂
Hatari sana haya Mambo..
Kwenye uchawi wa kizungu, masuala ngono ni uchafu, baadhi ya ibada hutaka mtu kujitoharisha kwa siku hadi 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…