Natafuta mtu wa kumwachia Apartment niliyopangisha kwa makubaliano

wiseman27

Member
Joined
Oct 25, 2024
Posts
59
Reaction score
145
Habari wakuu,

Nimepangisha Apartment ya kuishi yenye vyumba vitatu kimoja master, Public toilets jiko kubwa na sebule kubwa. Iko ndani ya fence na Apartment nyingine tatu. Ipo maeneo ya Tegeta Wazo.

Unfortunately nimepata nafasi kwenda kufanya kazi mkoani Mwanza na sitoweza kusafili na hivi vitu vyote labda vichache. Natafuta mtu wa kumpangisha kwa miezi iliyobakia (miezi 4).

Tutakubaliana nimwachie na furnitures zilizopo. Mwenye nyumba hana tatizo na hakai hapo. Ambaye yuko interested tuwasiliane DM.
 
Weka picha za furniture hzo..na hyo apart ment shingap
 
Mrejesho: Sold Out.
Asanteni Wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…