Natafuta mtu wa kunidhamin kwenye masomo yangu jamani

Abel james

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
103
Reaction score
8
Naitwa abely kikimba, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2013, na kufahuru vizuri kwa division two, na kwa bahati mbaya sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa mkopo na pesa za kujisomeshea, hvyo mwaka huu nimepania kuendelea na masomo ya elimu ya juu, natafuta mtu mwenye mapenz mema ambae yupo tayal kuniendeleza kimasomo, nitakuwa tayali kwa lolote atakaloamua mdhamini wangu ila lisikiuke haki za binadamu, kwa alietayali tuwasiliane kupitia 0763175935.
 
Mkuu huo ubini wako...duh!...lkn mkuu ningekushauri ufungue ukurasa wa pili wa maisha yako...heri kwanza ungetafuta mtaji...au kazi ili baadae ujisomeshe mwenyewe...
 
Dogo kua makini sana, usicheze na vichwa vyetu kiasi hiki...
Unazikumbuka threads zako za nyuma???
 
Hahahaha haya mambo hayaaa mweeee thread za nyumaaa zpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…