Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
Naitwa abely kikimba, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2013, na kufahuru vizuri kwa division two, na kwa bahati mbaya sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa mkopo na pesa za kujisomeshea, hvyo mwaka huu nimepania kuendelea na masomo ya elimu ya juu, natafuta mtu mwenye mapenz mema ambae yupo tayal kuniendeleza kimasomo, nitakuwa tayali kwa lolote atakaloamua mdhamini wangu ila lisikiuke haki za binadamu, kwa alietayali tuwasiliane kupitia 0763175935.