Natafuta mtu wa kunifanyia massage

bestito mwallu niombee kwani nimeshamkosea Mungu hapa mwenziio
sijui nifanyaje najuta kumualika huyu
anifanyie massage kwani kanifanyia kweli na uenda nikabeba
mzigo wa kilo 7 kama hivi :mimba:maana naona dalili kwa mbali
nifanyeje niko njia panda mwenzio nitamwelezaje daddy watu8 dhahama kubwa kiasi hichi
habari yako
 
Last edited by a moderator:
rasimisheni tu huu muunganiko mkazaliane kwa amani cc
mpinduaji Erickb52 na @ Baba V
 
Last edited by a moderator:
anakukatalia bure huyo bestito ameshanibebesha :mimba:anataka kukataa
wakati nimemufanyia makusudi leo kwa number 1 aingie mkenge na ameshabanwa
atotoka ng'ooooo mpaka kieleweke
mmh
kwenye masaji si mmepikika sufuria moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…