Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Naumri wote huo hujui excel, shida sana!Kichwa cha habari cha husika!!
Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue
Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
Umejuaje umri wake?Naumri wote huo hujui excel, shida sana!
Tumia YouTube itakusaidia sana mkuu. Alafu Excel ina functions nyingi kulingana na changamoto unazokutana nazo na nature ya biashara/shughuli husika.Kichwa cha habari cha husika!!
Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue
Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
Umri wako na jinsia please
kwa sh ngap?I will teach you everything you need to know about excel from beginner level to advance level
hatari ina mambo mengiYaani hii kitu leo imenitoa jasho balaa, excell ni mijedwali mingiiii
Acha kujifanya unajua kijana!! Excel Ina vitu mnoNaumri wote huo hujui excel, shida sana!
Niko dar, ipo, tunakubalianaUpo wap na sehemu ya kufundishiwa unayo
Kitu gan labda maana nachotaka kujifuza hapa mostly si kujaza data ila kutengeneza formula na coding tofauti tofauti!!!…Acha kujifanya unajua kijana!! Excel Ina vitu mno
Ivyo ni vigumu huyo jamaa anajua shortcut zile na function na formula kazi kucopy na kupaste .Kitu gan labda maana nachotaka kujifuza hapa mostly si kujaza data ila kutengeneza formula na coding tofauti tofauti!!!…
Huyu Mwalimu umejaribu kuwasiliana naye?Kichwa cha habari cha husika!!
Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue
Malipo
-Malipo yapo tutakubaliana nimlipaje
asante lakini naona kama hawa ni online learning!! Kitu ambacho ni kigumu afu cjui hata wapo nchi ganHuyu Mwalimu umejaribu kuwasiliana naye?