Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Mkuu hiyo hela inatosha Sana Tu, labda Tu hujaainisha finishing inakuwaje, lakni kama ni sakafu Tu na madirisha ya wavu na rangi ya kawaida, mbna ni nyingi hyo chapaa, kuanzia fundi, watwana, seiling board ya kawaida na vifaa, gharama za ujenzi dsm zko juu kuliko mikoani, nyumba ya mill 60 dsm mkoani unaiua Kwa mil40, na ubora ni ule ule