Kwenye mbao za kupaulia unapiga reject , kuna mchaga mmoja hapa namkubali Sana huyu Mwamba,Hatari ila utakwamwa juu na milango itabidi uongeze 1ml tofauti na hapo uwe bahili aswa katika kufanya manunuzi na ulie lie sana upunguziwe bei ya matirio
Kwa nini Dar gharama za ujenzi zipo juu ilhali vifaa vya ujenzi zipo bei chini kuliko mikoani?Mkuu hiyo hela inatosha Sana Tu, labda Tu hujaainisha finishing inakuwaje, lakni kama ni sakafu Tu na madirisha ya wavu na rangi ya kawaida, mbna ni nyingi hyo chapaa, kuanzia fundi, watwana, seiling board ya kawaida na vifaa, gharama za ujenzi dsm zko juu kuliko mikoani, nyumba ya mill 60 dsm mkoani unaiua Kwa mil40, na ubora ni ule ule
Kwa nini Dar gharama za ujenzi zipo juu ilhali vifaa vya ujenzi zipo bei chini kuliko mikoani?
iyo pesa wala si nyingi, nyumba yangu binafsi, msingi pekeyake, umekamilika kwa zaidi ya 4mil, wewe unataka nyumba nzima, na haina jiko, ni vyumba vi3 vyinye vyoo na sebure,basi!Habarini .....
Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.
Chumba na choo chake (Master)
Sebule (Living room)
Public toilet
Kitchen( jiko)
Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.
Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.
Karibuni sana.
NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.
iyo pesa wala si nyingi, nyumba yangu binafsi, msingi pekeyake, umekamilika kwa zaidi ya 4mil, wewe unataka nyumba nzima, na haina jiko, ni vyumba vi3 vyinye vyoo na sebure,basi!
usikute unamaanisha na roofing kabisa mkuu!Habarini .....
Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.
Chumba na choo chake (Master)
Sebule (Living room)
Public toilet
Kitchen( jiko)
Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.
Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.
Karibuni sana.
NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.
Anamanisha kila kituusikute unamaanisha na roofing kabisa mkuu!
Ungewatafuta jamaa wa Tanesco kule walikojenga kibanda cha mlinzi kwa mil 7,lazima utafanikiwaHabarini .....
Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.
Chumba na choo chake (Master)
Sebule (Living room)
Public toilet
Kitchen( jiko)
Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.
Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.
Karibuni sana.
NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.
Which part?Aisee. Very interesting
Mkuu chumba kimoja na sebule unataka atumie Shillingi ngapi ?iyo pesa wala si nyingi, nyumba yangu binafsi, msingi pekeyake, umekamilika kwa zaidi ya 4mil, wewe unataka nyumba nzima, na haina jiko, ni vyumba vi3 vyinye vyoo na sebure,basi!