Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive

Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive

stevhinoz

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
228
Reaction score
509
Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano.

Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
 
Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi
 
Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi
Alitaka kuniingiza mjini ila hakufanikiwa so nikakata tamaa gari nikauza. Ila sasa nimepata gari nyingine IST cc ndogo.
 
Back
Top Bottom