stevhinoz JF-Expert Member Joined Jun 15, 2021 Posts 228 Reaction score 509 Dec 12, 2022 #1 Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano. Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano. Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
Maji Chai JF-Expert Member Joined Dec 8, 2018 Posts 265 Reaction score 362 Dec 12, 2022 #2 Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi
Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi
stevhinoz JF-Expert Member Joined Jun 15, 2021 Posts 228 Reaction score 509 Dec 12, 2022 Thread starter #3 Maji Chai said: Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi Click to expand... Alitaka kuniingiza mjini ila hakufanikiwa so nikakata tamaa gari nikauza. Ila sasa nimepata gari nyingine IST cc ndogo.
Maji Chai said: Mkuu tangu mwaka jana hujapata mtu au hamkuelewana?Na bado una ileile spacio yako au sasahivi umebadili gari kiongozi Click to expand... Alitaka kuniingiza mjini ila hakufanikiwa so nikakata tamaa gari nikauza. Ila sasa nimepata gari nyingine IST cc ndogo.