Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
idadi..ubora..?.. wasiliana na 0754446393.. anaitwa Faustine. Ni mjsiriamali mzuri na anafanya kazi na ofisi nyingi za umma. Usimpelekee longolongo tu.Habari...! Nahitaji mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare ya chuo...kama unaweza deal hiyo nipe namba yako tuwasiliane!
Mpigi huyu mtu 0715 280482, anaitwa Patrick. Ni mkali mno.
kwa maelezo zaidi tembelea http://wear.galacha.com
utaona kazi zake.
ndo kitu lnilichokutaka nacho kwenye haka kaweb GALACHA Wear