Natafuta mtu wa kununua kampuni ya huduma ya chakula na vinywaji

Natafuta mtu wa kununua kampuni ya huduma ya chakula na vinywaji

Joined
Feb 7, 2022
Posts
23
Reaction score
26
Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na inafanya kazi

Ina vifaa vyote vinavyohitajika katika kazi hii pamoja na ofisi pamoja na wafanya kazi. Huyu mtu anayetafutwa atakuwa mkurugezi wa company baada ya kununua hisa zote na Mali za company pia baadhi ya wafanya kazi waliopo anaweza kuendelea nao au akaleta watu wak

Hiyvo mtu ambaye yupo tayari tuwasiliane kupia 0766090956

Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom