Hili wazo lako linaniingia akilini kidogo tatizo nina aleji na harufu ya pesa.Nenda pale nmb zunguka upande ambao wateja hawafiki
Lumumba waliishia kupiga pushapu nilivyowasogelea wote wakatokea mlango wa nyuma kwa GSM.Ipige ngumi smart 4n yako.
Toka umeanza kunyanyua vyuma hujamaliza hata mwezi... Unaomba pambano!?Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss ugomvi[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Sipigani na wazee mimi.Unataka mafao ya uzeeni kupitia mimi.Toka umeanza kunyanyua vyuma hujamaliza hata mwezi... Unaomba pambano!?
Mimi nimeanza kunyanyua 1987, njoo PM tuweke mikakati na taratibu then tuwaombe mods waratibu pambano
Nakuhaidi kukuvunja kiuno na kukutoa kiherehere mjomba
Sioni cha kukujibu mtoto wanguSipigani na wazee mimi.Unataka mafao ya uzeeni kupitia mimi.
Ushauri mzuri thana huunenda pale lugalo jehini, kaombe mechi ya kirafiki kwa nguvu..[emoji16][emoji16]!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]tunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.
mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee weeweWewe unaonekana muoga sana maana mi nimekunja ngumi,nimevuka mstari na mchanga nimeputa we bado unaongea tu.Ngoja nivue shati sasa kisha nivae kandambili mikononi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au amdisi Bashite publiclytunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.
mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli