Natafuta mtu wa kupigana naye.

Natafuta mtu wa kupigana naye.

nenda kachukue nafasi ya Ney kwa Yusuph Mlela
 
Nenda kaombe Mechi na Makomandoo waliokuwa wanavunja fito na tofali za mchanga siku ya uhuru pale jamhuri stadium
 
Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss ugomvi[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Toka umeanza kunyanyua vyuma hujamaliza hata mwezi... Unaomba pambano!?

Mimi nimeanza kunyanyua 1987, njoo PM tuweke mikakati na taratibu then tuwaombe mods waratibu pambano

Nakuhaidi kukuvunja kiuno na kukutoa kiherehere mjomba
 
Pigana na maisha kwanza [emoji23][emoji16][emoji5]
 
Toka umeanza kunyanyua vyuma hujamaliza hata mwezi... Unaomba pambano!?

Mimi nimeanza kunyanyua 1987, njoo PM tuweke mikakati na taratibu then tuwaombe mods waratibu pambano

Nakuhaidi kukuvunja kiuno na kukutoa kiherehere mjomba
Sipigani na wazee mimi.Unataka mafao ya uzeeni kupitia mimi.
 
usipate shida ukiona mwili unawasha pita pale lugalo kanyaga mau au ukojoe pembeni barabara yaani kwenye majani
ukirudi usitupe mrejesho itakuwa siri yako mkuu
 
usipate shida ukiona mwili unawasha pita pale lugalo kanyaga mau au ukojoe pembeni barabara yaani kwenye majani
ukirudi usitupe mrejesho itakuwa siri yako mkuu
Hii yako ina mashiko.Ngoja nichukue daladala za Mwenge niwahi.
 
tunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.

mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe unaonekana muoga sana maana mi nimekunja ngumi,nimevuka mstari na mchanga nimeputa we bado unaongea tu.Ngoja nivue shati sasa kisha nivae kandambili mikononi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee weewe
 
we kapitee tu ndani ya kambi ya jeshi utakipata unachokitafutaaa
 
tunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.

mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au amdisi Bashite publicly
 
Back
Top Bottom