Namkaribisha sana kwanza chai yetu niya maziwanenda pale lugalo jehini, kaombe mechi ya kirafiki kwa nguvu..[emoji16][emoji16]!!!
Haha[emoji41][emoji41][emoji41] hapo pazuriiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au amdisi Bashite publicly
Wembe? Utatahiriwa bila ganzi weye!Mimi siyo Roma shauri yako.Kawaambie hata waje na Treni au Sabumarini mi siogopi labda waje na wembe.
Hahahahaaa! Wimbo fulani... "lete mbwembwe nikuchanechane na viwembe"...!Mabaunsa wengi tunaogopa wembe na nyuki bhaaaaas. π π
Naanza kuona umuhimu wa uhakiki wa vyeti.Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss ugomvi[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Ha ha ha eti ilikuja noah nyeusitunga nyimbo ya kudiss serikali then utapata watu tena watakuja wenyewe hadi uwanja wako wa nyumbani.
mwenzio Roma alisema ita difenda kilichotokea now kawa kama jogooo anaye umwa kideli