Mo Genius Senior Member Joined Sep 21, 2018 Posts 135 Reaction score 319 Jan 25, 2019 #1 natafuta mshirika wa biashara dar es salaam awe na sifa zifuatazo awe na stationary yenye internet cafe ndani yake awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye namba 0621627500
natafuta mshirika wa biashara dar es salaam awe na sifa zifuatazo awe na stationary yenye internet cafe ndani yake awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye namba 0621627500
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,256 Reaction score 11,377 Jan 25, 2019 #2 Kwa approach kama hii unategemea kumpata nani? Kweli Wa Tz ni ngumu kufanikiwa kwa mambo madogo tu kama haya, yaan imeshindwa hata kuandika kitu knachoeleweka hyo biashara utaiweza
Kwa approach kama hii unategemea kumpata nani? Kweli Wa Tz ni ngumu kufanikiwa kwa mambo madogo tu kama haya, yaan imeshindwa hata kuandika kitu knachoeleweka hyo biashara utaiweza