Natafuta mtu wa kushirikiaa naye kibiashara

Natafuta mtu wa kushirikiaa naye kibiashara

Mo Genius

Senior Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
135
Reaction score
319
natafuta mshirika wa biashara dar es salaam

awe na sifa zifuatazo

awe na stationary yenye internet cafe ndani yake

awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya

kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye namba

0621627500
 
Kwa approach kama hii unategemea kumpata nani? Kweli Wa Tz ni ngumu kufanikiwa kwa mambo madogo tu kama haya, yaan imeshindwa hata kuandika kitu knachoeleweka hyo biashara utaiweza
 
Back
Top Bottom