chaggaa15
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 567
- 468
Asante mkuuyeah hayapo mengi kivile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuyeah hayapo mengi kivile..
Asante mkuu
Mm nipo Moro ila mtaji uwoo sina ila nina wazo la biashara ya matunda na mbogamboga ndyo ninaofanya kwa sasahabari
Kuna rafiki yangu (mwanamme) amehamia Moro anahitaji mtu wa kuchangia Mtaji wafanye Biashara
Anayetakiwa;
Kama upo tayari pm
- Awe na Biashara au wazo zuri la Biashara inayo weza kufanyika Morogoro
- Awe na mtaji usio pungua shs 5mil
- Au mtu wa kumshauri Biashara ya kufanya Morogoro kwa mtaji wa shs 7Mil hivi
Asanteni
Nahitaji store kwa ajili ya kuuza mcheleMimi nipo morogoro mkuu hapa Ni mwenyeji sana so kama ukihitaji kampani unaweza ukanicheki
Haha nzuri hii.Samahan kwa kuchelewa kukujb Mkuu ni majukumu yalibana, pale n biashara ya chakula na vinywaji, ila
Mimi kwa niliyoona inalipa sana ni Cafe ya natural eats and drinks kama juice za kutengeneza, salads, matunda kwa ujumla hapa n kwa mda wa mchana, asubhi hasa kwa wasafiri ni bites na snacks aina nyingi, maziwa, kahawa, uji wa lishe, tangawizi, yan hapa nazungumzia vile vitu ambavyo unaandaa mwenyewe halaf unauza, sio unanunua halaf unauza kama kilivyo, na kumbuka hapa sizungumzii HOTEL, nazungumzia Cafe(vitafunywa/bites na vinywaji vya asili) na sio chakula, biashara katika dunia ya leo jitahd u specialize katika kitu maalum na sio kufanya kila kitu. Wateja wangu wakubwa n Wanafunzi, Wasafiri, Wafanyabiashara, waongozaji wa vyombo vya usafiri na mwingne yeyote ambaye anahtaj huduma ya haraka, hio n summary tuu na ninaongea hvyo kwa uzoefu sio kwa kubeti, namna ya uendeshaji na kuwapata wateja niwe tu muwazi hapa sitasema, maana hapo ndo utofaut wa biashara yangu na mwingne anayefanya kama yangu huja, na hapo ndio patamu, unless otherwise tubadilishane mawazo(unipe idea yako nawe) au tufanye corrabo. ila kwa mjanja mpk hapo ashapata kitu nikujiongeza tuu.
Upo wapi mkuuNahitaji store kwa ajili ya kuuza mchele
Shukran sana mkuu ntajiongezaSamahan kwa kuchelewa kukujb Mkuu ni majukumu yalibana, pale n biashara ya chakula na vinywaji, ila
Mimi kwa niliyoona inalipa sana ni Cafe ya natural eats and drinks kama juice za kutengeneza, salads, matunda kwa ujumla hapa n kwa mda wa mchana, asubhi hasa kwa wasafiri ni bites na snacks aina nyingi, maziwa, kahawa, uji wa lishe, tangawizi, yan hapa nazungumzia vile vitu ambavyo unaandaa mwenyewe halaf unauza, sio unanunua halaf unauza kama kilivyo, na kumbuka hapa sizungumzii HOTEL, nazungumzia Cafe(vitafunywa/bites na vinywaji vya asili) na sio chakula, biashara katika dunia ya leo jitahd u specialize katika kitu maalum na sio kufanya kila kitu. Wateja wangu wakubwa n Wanafunzi, Wasafiri, Wafanyabiashara, waongozaji wa vyombo vya usafiri na mwingne yeyote ambaye anahtaj huduma ya haraka, hio n summary tuu na ninaongea hvyo kwa uzoefu sio kwa kubeti, namna ya uendeshaji na kuwapata wateja niwe tu muwazi hapa sitasema, maana hapo ndo utofaut wa biashara yangu na mwingne anayefanya kama yangu huja, na hapo ndio patamu, unless otherwise tubadilishane mawazo(unipe idea yako nawe) au tufanye corrabo. ila kwa mjanja mpk hapo ashapata kitu nikujiongeza tuu.
Mtaji unahitajika sh wa kuongezea tufanye collabo?Story nzima toka Ijumaa naifuatilia ila nakua na kigugumizi cha mtaji tu. Mimi nipo Moro ninakabiashara cha Mgahawa mjini kati jirani na stand ya Hiace, napenda sana Biashara ila msukumo ndio bado sijaupata wa kunionyesha njia ya kutoboa
Madam ingawa hii comment ya zamani kidogo..hii ya nafaka unaweza nipa abcd zake kwa pale moro mjini..nadhamiria kuamia morogoro kuishi na kufanya biashara,but sina pa kuanzia na sijapata idea yoyotekwa mawazo yangu mm nadhan biashara ya bar.. i mean iwe na club hapo hapo..samaki samaki anapiga bao daily..yan iwe classic. walau ukaribiane na blak n white...
2.nafaka
nahitaji mtu anaye fanya biashara Moro, hata kama sio kushirikiana anaweza kutoa ushauri
Haha nzuri hii.
Umedhamiria kufanya biashara gani bossMadam ingawa hii comment ya zamani kidogo..hii ya nafaka unaweza nipa abcd zake kwa pale moro mjini..nadhamiria kuamia morogoro kuishi na kufanya biashara,but sina pa kuanzia na sijapata idea yoyote
1; Afande Sele 0713-200-212habari
Kuna rafiki yangu (mwanamme) amehamia Moro anahitaji mtu wa kuchangia Mtaji wafanye Biashara
Anayetakiwa;
Kama upo tayari pm
- Awe na Biashara au wazo zuri la Biashara inayo weza kufanyika Morogoro
- Awe na mtaji usio pungua shs 5mil
- Au mtu wa kumshauri Biashara ya kufanya Morogoro kwa mtaji wa shs 7Mil hivi
Asanteni
kuna my friend alikuwa na vifaa vya stationery hapo morogoro..alikuwa anasoma chuo amepata kazi mkoa mwingine so anampango wa kuniachia hivyo vifaa..nilitaka nifungue stationery huko chuo cha sua main campus but issue ipo kwenye kupata chumba sehemu yenye mzunguko wa wanafunzi wengi...but ikipata tu chumba itakuwa poa,pia napenda nipate idea yoyote nyingine ya biashara kwa hapo morogoro nitaifanyia kaziUmedhamiria kufanya biashara gani boss
Moro biashara zinakwenda Ila location ni muhimu sana sababu watu wa uku kuifata biashara iliyokuwa pembeni inakuwa ngumu kidogo Ila ubunifu unaweza kuvutia wateja waje ulipo hasa kuwapeleke bidhaa walipo biashara ya nguo inatoka Moro vifaa vya umeme simu au vifaa vyake hasa cover izi protector charger vingi na kikubwa kama biashara ndyo unaanza inabidi utulie sana kwenye matumizi yni nidhamu ya pesa utakayo patakuna my friend alikuwa na vifaa vya stationery hapo morogoro..alikuwa anasoma chuo amepata kazi mkoa mwingine so anampango wa kuniachia hivyo vifaa..nilitaka nifungue stationery huko chuo cha sua main campus but issue ipo kwenye kupata chumba sehemu yenye mzunguko wa wanafunzi wengi...but ikipata tu chumba itakuwa poa,pia napenda nipate idea yoyote nyingine ya biashara kwa hapo morogoro nitaifanyia kazi
Moro biashara zinakwenda Ila location ni muhimu sana sababu watu wa uku kuifata biashara iliyokuwa pembeni inakuwa ngumu kidogo Ila ubunifu unaweza kuvutia wateja waje ulipo hasa kuwapeleke bidhaa walipo biashara ya nguo inatoka Moro vifaa vya umeme simu au vifaa vyake hasa cover izi protector charger vingi na kikubwa kama biashara ndyo unaanza inabidi utulie sana kwenye matumizi yni nidhamu ya pesa utakayo pata
Na miaka 8 Hadi sasa apa Moro si Mingi wala michache kwaiyo napaelewaok..mkuu wewe ni mwenyeji sana wa moro mjini??
sawa mkuu,mitaa ya chuo gani ambayo vyumba vya aina hiyo ya biashara nayotaka kufanya vinaweza patikana kwa urahc na kuna mzunguko mkubwa kidogo wa watuNa miaka 8 Hadi sasa apa Moro si Mingi wala michache kwaiyo napaelewa
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app