Natafuta mtu wa kushirikiana Biashara Morogoro

Mm nipo Moro ila mtaji uwoo sina ila nina wazo la biashara ya matunda na mbogamboga ndyo ninaofanya kwa sasa
 
Nauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO,BIOAWANG,,, kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo k.koo mtaa wa kipata na swahili.
 
Haha nzuri hii.
 
Shukran sana mkuu ntajiongeza
 
Story nzima toka Ijumaa naifuatilia ila nakua na kigugumizi cha mtaji tu. Mimi nipo Moro ninakabiashara cha Mgahawa mjini kati jirani na stand ya Hiace, napenda sana Biashara ila msukumo ndio bado sijaupata wa kunionyesha njia ya kutoboa
Mtaji unahitajika sh wa kuongezea tufanye collabo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mawazo yangu mm nadhan biashara ya bar.. i mean iwe na club hapo hapo..samaki samaki anapiga bao daily..yan iwe classic. walau ukaribiane na blak n white...
2.nafaka
Madam ingawa hii comment ya zamani kidogo..hii ya nafaka unaweza nipa abcd zake kwa pale moro mjini..nadhamiria kuamia morogoro kuishi na kufanya biashara,but sina pa kuanzia na sijapata idea yoyote
 
1; Afande Sele 0713-200-212
2.Ndatama
 
Umedhamiria kufanya biashara gani boss
kuna my friend alikuwa na vifaa vya stationery hapo morogoro..alikuwa anasoma chuo amepata kazi mkoa mwingine so anampango wa kuniachia hivyo vifaa..nilitaka nifungue stationery huko chuo cha sua main campus but issue ipo kwenye kupata chumba sehemu yenye mzunguko wa wanafunzi wengi...but ikipata tu chumba itakuwa poa,pia napenda nipate idea yoyote nyingine ya biashara kwa hapo morogoro nitaifanyia kazi
 
Moro biashara zinakwenda Ila location ni muhimu sana sababu watu wa uku kuifata biashara iliyokuwa pembeni inakuwa ngumu kidogo Ila ubunifu unaweza kuvutia wateja waje ulipo hasa kuwapeleke bidhaa walipo biashara ya nguo inatoka Moro vifaa vya umeme simu au vifaa vyake hasa cover izi protector charger vingi na kikubwa kama biashara ndyo unaanza inabidi utulie sana kwenye matumizi yni nidhamu ya pesa utakayo pata
 
ok..mkuu wewe ni mwenyeji sana wa moro mjini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…