Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

Kuntankite

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
10
Reaction score
6
Hello waungwana,

Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane.

Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno kujulikana mara moja.

Hatua za kufungua zishafanyika ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na mratibu wa Maabara wilaya anajua pia ashakagua eneo.

Stage iliyopo kuingia kwenye mfumo kufanya application tu.

Pesa imeniishia, kama uko interested nicheki
 
Wewe jamaa ungekuwa Dar tungeanza mwaka huu February hii
 
Ungeweka figure ya pesainayohitajika na terms ungepata mtu fasta
 
Gharama zinazohitajika ni kiasi gani mpaka hapo ulipofikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…