Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

Like you was serious but unavojibu maswali ni kama unawa-enjoy watu
 
Strategy kali goodluck mrejesho siyo lazima wachawi wengi humu
 
Ladies and gentlemen, we have a new bitch in town!
 
Aiseeh
 
Like you was serious but unavojibu maswali ni kama unawa-enjoy watu
Listen my friend mara zote katika maisha mtu akikuuliza swali la kipuuzi mjibu kipuuzi.Na akikuuliza kwa hekima answer it clear Unajua binadamu si ni watu wa ajabu mno ukitaka kufata kila watakalo mwisho utachanganyikiwa.Because sikuona sababu ya maswali yote kwa sababu kwa mtu mwenye uelewe niliweka kila kitu clear.Na tatizo watu wengi mshaweka dhana kuwa relation za mtandaoni si nzuri japo nami ni mmoja wapo huwa siamini sana kudumu na mtu wa mtandaoni japo anything can happen na ndo mana nimeweka mtu wa kusogeza siku cause si rahisi kusema nahitaji mtu wa kudumu naye while sikufahamu kiundani .
 
Wanajaa coaster ila bado siti moja I think nawe uongezeke ili siti zisipelee.
Asantee nimefurahi kwa mwaliko, Mimi sofa zote ulizotaja niko nazo kasoro hiyo ya ajira tu ndo sina, wanasema kila mwanaume aliefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake, naamini bila shaka ndo wewe umefika tusukume gurudumu la maendeleo!
 
Nimekuelewa usijali mummy
 
Asantee nimefurahi kwa mwaliko, Mimi sofa zote ulizotaja niko nazo kasoro hiyo ya ajira tu ndo sina, wanasema kila mwanaume aliefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake, naamini bila shaka ndo wewe umefika tusukume gurudumu la maendeleo!
mlale mhola.
 
Ahsanteni kwa maswali yenu na michango yenu .
Nishampata niliemuona anafaa.
Nitawaletea mrejesho mwingine mbele ya safari.
Kalio lipo sio nyuma flat kama dereva muendesha Mtambo wa kushindilia barabara.
 
Asante mkuu, heri nawe ya Uhuru wa Tanganyika...

Asante kwa kunielewesha mkuu, barikiwa sana
 
Hivi kumbe kuwa na Degree haiondoi ujinga ee? Mpuuzi kabisa dini zote zinakataza zinaa,Mila na desturi za mtanza hazikubali mwanamke kujitongozesha halafu ww unakuja kutuzuga na ujinga ulioujaza akilini mwako.
 
It's really zinakataa je we unafata uyasemayo na may be unaweza sema umeoa je kabla hujaoa hujawahi fanya zinaa.Na kuhusu kusema mwanamke kujitongozesha embu ni andiko lipi kwenye biblia au quran linasema ni dhambi au ni tamaduni tu tulizojiwekea Tanzania cause ukienda nchi kama India mwanamke ndo anayetoa mahali kwa mwanamme ampendaye so acha kukariri maisha cause hayana formular.So acha kujikuta mkamilifu wakati nyuma ya keyboard una mapungufu mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…