Natafuta mtu wa kuspend nae hii Valentine Gharama juu yangu

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Habarini wakuu, poleni na majukumu kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, hii ndo valentine yangu ya kwanza kua peke angu kutokana na Majukumu hasa kipindi hiki cha uchumi wa kati.

Hivyo basi nimeona nisikae kinyonge sana, natafuta mtu jinsia (KE) ambae pia anaweza kua mpweke kipindi hiki cha Wapendanao, tukae, tule, tucheze, tupige stories, tupeane mambo ya maisha na tunywe ilimradi siku iwe full occupied ili kupoteza mawazo pia na gharama nasimamia mimi.

Nimeona nifanye hivi sababu, mimi pia ni mpweke kipindi hiki, hivyo basi naamini sipo peke angu dunia hii, au Dar es Salaam hii, nimeona nitafute connection mapema, kwa mtu yeyeto ambae ata-feel yupo lonely please hit me up kupitia DM yangu, tupeane ramani ya hii valentine.

Nakusubiri na ntajibu msg zote.. Karibuni.
 
Weka na vigezo itapendeza nilishawai weka tangazo kama hili muda kdg alieni dm nilikimbia[emoji23][emoji23]
 
Habarini wakuu, poleni na majukumu kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, hii ndo valentine yangu ya kwanza kua peke angu kutokana na Majukumu hasa kipindi hiki cha uchumi wa kati.

Hivyo basi nimeona nisikae kinyonge sana, natafuta mtu jinsia (KE) ambae pia anaweza kua mpweke kipindi hiki cha Wapendanao, tukae, tule, tucheze, tupige stories, tupeane mambo ya maisha na tunywe ilimradi siku iwe full occupied ili kupoteza mawazo pia na gharama nasimamia mimi.

Nimeona nifanye hivi sababu, mimi pia ni mpweke kipindi hiki, hivyo basi naamini sipo peke angu dunia hii, au Dar es Salaam hii, nimeona nitafute connection mapema, kwa mtu yeyeto ambae ata-feel yupo lonely please hit me up kupitia DM yangu, tupeane ramani ya hii valentine.

Nakusubiri na ntajibu msg zote.. Karibuni.
Nenda Badoo, Telegram group's utapata wa kupga nao stori na kila kitu mkuu....Just ushauri.
 
Habarini wakuu, poleni na majukumu kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, hii ndo valentine yangu ya kwanza kua peke angu kutokana na Majukumu hasa kipindi hiki cha uchumi wa kati.

Hivyo basi nimeona nisikae kinyonge sana, natafuta mtu jinsia (KE) ambae pia anaweza kua mpweke kipindi hiki cha Wapendanao, tukae, tule, tucheze, tupige stories, tupeane mambo ya maisha na tunywe ilimradi siku iwe full occupied ili kupoteza mawazo pia na gharama nasimamia mimi.

Nimeona nifanye hivi sababu, mimi pia ni mpweke kipindi hiki, hivyo basi naamini sipo peke angu dunia hii, au Dar es Salaam hii, nimeona nitafute connection mapema, kwa mtu yeyeto ambae ata-feel yupo lonely please hit me up kupitia DM yangu, tupeane ramani ya hii valentine.

Nakusubiri na ntajibu msg zote.. Karibuni.
Umeamua kuingia sokoni kwa style hii? Nakushauri tu humu utapigwa, download App ya Tagged! Huwezi kosa mtu wa kula nae hela zako mle mwenye sifa zote utakazo bila kusahau utakula tunda kimasihara bila ngendembwe.
 
TAPELI huyu kwani mtaa na wanaomzunguka wote ni wanaume? siku hizi kuna ugumu gani wa,kupata demu wa,kwenda kuunguza acc yako?
 
Back
Top Bottom