Habarini wakuu, poleni na majukumu kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu, hii ndo valentine yangu ya kwanza kua peke angu kutokana na Majukumu hasa kipindi hiki cha uchumi wa kati.
Hivyo basi nimeona nisikae kinyonge sana, natafuta mtu jinsia (KE) ambae pia anaweza kua mpweke kipindi hiki cha Wapendanao, tukae, tule, tucheze, tupige stories, tupeane mambo ya maisha na tunywe ilimradi siku iwe full occupied ili kupoteza mawazo pia na gharama nasimamia mimi.
Nimeona nifanye hivi sababu, mimi pia ni mpweke kipindi hiki, hivyo basi naamini sipo peke angu dunia hii, au Dar es Salaam hii, nimeona nitafute connection mapema, kwa mtu yeyeto ambae ata-feel yupo lonely please hit me up kupitia DM yangu, tupeane ramani ya hii valentine.
Nakusubiri na ntajibu msg zote.. Karibuni.