Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

Niliambiwa nisome Kichina kwamba kiko marketable.Baada ya kusoma nikaambiwa no ni Kituruki ndo kinalipa kule kwenye SGR, sasa hivi nasoma Kituruki mnaleta mambo ya Kihadzabe. Mbona Wabongo mna roho mbaya hivi? 🙆
 
Back
Top Bottom