Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
NakaziaKawachukue ndugu zako wamatumbi uwape fursa hiyo
Duuh, hatari Sana😅😅😅 soon mleta uzi atapita kama anaaga maiti
BalaaDuuh, hatari Sana
Good morning billionaires,,hiyo ni saa 8 mchana jua Kali la utosi😅😅
Jamaa anasema Hana muda wa kufanya hizo biasharaBalaa
Hivi Q Net bado ipo?Pyramid scheme nyingine mkuu??
Chukua ajira hiyo 😀Jamaa anasema Hana muda wa kufanya hizo biashara