Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Bidhaa hazina shida.hii forever bado ipo? Vitu vinadumu sana, seems watu wanakufa hii kampuni na waliopo wanasonga mbele. Way
Back 2008 chuoni walipigwa sana na utapeli wa bidhaa zao za Forever.
kama mtu hajui watu gani wanatumia hiyo salamu basi ujue huyo ni mgeni sana hapa Dsm.Good morning billionaires,,hiyo ni saa 8 mchana jua Kali la utosiπ π
Chukua fursa hiyo. Mimi niliyo nayo inatosha πChukua ajira hiyo π
Hapana acha niendelee kuwa Winga πChukua fursa hiyo. Mimi niliyo nayo inatosha π
Sasa unakuwa winga wa forever livingHapana acha niendelee kuwa Winga π
Lishatajirika ? maana zilivyokuja bongo miaka ya 90 pamoja na zile za GLD wakisema ni mult level marketing jinsi unavyopeleka mburura ndivyo unavyopanda daraja na kupata mabilioni. Kuna watu waliingia mkenge wakawa wanazunguka na furushi la madawa wateja hakuna. Watanzania tukijifunza aina za pyramidy schemes ( ponzi) zinazotumia bidhaa tutaacha kudanganywa kwenye kumbu za magorofa nadikia Kuna wengine hata usiku wa manane wanasalimiana " Good morning billionaire huku soli za viatu zikiwa zimeisha.. Ni wslewale pyramidHabarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
ππ hapana asanteSasa unakuwa winga wa forever living
Nimecheka hadi kupaliwaa ππ"Kakumba"
Au sio mwanetu.......Hili pyramid scheme likikubali unamsahau mtu.
Kuna she nilisoma naye tumemaliza o level akatumbukia humu. Mpaka mi nafika chuo yeye tayari kajilipia mahari ili aolewe na kampa zawadi ya gari huyo mumewe Prado
huu msemo hivi unamaanishaga niniKaja mjini na lori la cement huyu.....
π€£π€£π€£Nimecheka hadi kupaliwaa ππ
halafu vile anajifanya hajali sasa, yaani hapo alipo anaona ameshaotea bonge moja la fursa ya kumpa utajiri.Jamaa anasema Hana muda wa kufanya hizo biashara