Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

Natafuta mtu wa kuwa ananiazima gari! Nakua namtoa kishikaji

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana.
Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza.
Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience.

Niko mwanza.
 
Ukajifunzie kwenye magari ya watu.
IMG_0892.jpeg
 
Akili nyingine baana!!

Kuna jamaa mmoja aliazima gari kwa rafiki yake ili asafirie kutoka Mikocheni Dar es Salaam kwenda Masasi Mtwara. Taa ya check engine imewaka tangu Mbagala ,kwakuwa hakuwa na uzoefu wa magari akaendelea na safari. Gari inachemka hadi inataka kuwaka ye yumo tu.

Kufika Nangurukuru gari ikagoma kutembea, mafundi kuja kucheck, engine imesagika kwa kukosa oil.

Alilazimika kununua engine mpya ,tangu hapo akakoma kuazima azima vyombo vya watu.

Hesabu ya nauli ya bus ilikuwa ni ndogo mno ukilinganisha na kujaza mafuta kwenye gari tena gari ya kuazima.

Sina hakika kama utapata mtu wa kukuazima gari kwa namna unayoitaka
 
Magari ya kujifunzia na taasisi ya kujifunzia zipo kibao vyuo mpaka uchochoroni ukilipa hata ukigonga husumbuani na mtu ila kupenda mtelemko unataka gari ya mitaani ugombane na watu tena unaweka wazi kulipa gar kishikaji we na atakaekuazimia gari wote akili zenu zitakuwa mbovu tena haswa, mjinga ww kweli kichwa kibovu mzigo kwa shingo.
 
Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana.
Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza.
Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience.

Niko mwanza.
Njio uchukue yangu laki moja kwa siku
 
We chalii unapenda kuchukuliq vitu simple sana kwenye maisha
 
Sasa na wewe mtoa post hivi umefikiria vizuri? Hiyo hela ya kumtoa mtu si ungejichanga ununue hata ks corolla
 
Nyie ndio mnasababisha wasukuma wazidi kudharaulika yaani
 
Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana.
Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza.
Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei za kukodi kwa ajili ya kugain experience.

Niko mwanza.
Huna haja ya kununua gari, jiunge katika kanisa la

Nabii GeoDavie​

Utapewa gari ya bure! Anza kuhudhuria ibada zake leo
 
Back
Top Bottom