Akili nyingine baana!!
Kuna jamaa mmoja aliazima gari kwa rafiki yake ili asafirie kutoka Mikocheni Dar es Salaam kwenda Masasi Mtwara. Taa ya check engine imewaka tangu Mbagala ,kwakuwa hakuwa na uzoefu wa magari akaendelea na safari. Gari inachemka hadi inataka kuwaka ye yumo tu.
Kufika Nangurukuru gari ikagoma kutembea, mafundi kuja kucheck, engine imesagika kwa kukosa oil.
Alilazimika kununua engine mpya ,tangu hapo akakoma kuazima azima vyombo vya watu.
Hesabu ya nauli ya bus ilikuwa ni ndogo mno ukilinganisha na kujaza mafuta kwenye gari tena gari ya kuazima.
Sina hakika kama utapata mtu wa kukuazima gari kwa namna unayoitaka