Natafuta Mtu wa masoko

Natafuta Mtu wa masoko

Mimi sijasomea masoko ila naweza kuwa Mwijaku kwenye biashara ntaipamba upate masoko
 
Mshahara ungeweka wa kueleweka sio unaweka figure mbili hiyo haijakaa sawa.
 
Back
Top Bottom